Quote:
Originally Posted by 3rdworld
ndio dada mimi huwa naandika lugha ya kiswahili mara kwa mara lakini sana sana mimi huongea nyumbani ama nikiwa na rafiki wengine wanao ongea kiswahili...na vile uonavyo yangu sio sanifu kabisa kama ile ya kicoasti(mombasa).. 
|
Atleast i can speak the Mombasa one 3rdworld.
Wasemani?? waitani??
man just messing. u know better when it is come Swahili.